KARIBU UJIUNGE NASI
STAR REACHERS GIRLS AND BOYS DAY AND BOARDING SECONDARY SCHOOL ni shule ya sekondari ambayo inapatikana Jijini Mwanza,eneo la buhongwa - Isebanda ambayo inadahili wanafunzi kuanzia kidato cha kwanza(I) mpaka cha nne(IV),
NAFASI ZA KUHAMIA
Pia kuna nafasi za kuhamia kwa wote ambao wangependa kuwa pamoja nasi kusaidiana nao kufanikisha ndoto zao.Uongozi wa shule unapenda kuwakaribisha katika shule yetu uweze kupata elimu bora zaidi.
(Trending and accesibility 24/7)
(Sifa za kujiunga)